newsare.net
Watoto watano wamekufa baada ya kuliwa na fisi wilayani Nyang’wale Mkoa wa Geita tangu Januari 2020 akiwemo Nile Hassan mwenye umri wa miaka mitano.Fisi wageuka tishio Geita, waua watoto watano
Watoto watano wamekufa baada ya kuliwa na fisi wilayani Nyang’wale Mkoa wa Geita tangu Januari 2020 akiwemo Nile Hassan mwenye umri wa miaka mitano. Read more











