newsare.net
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo Jumatano Machi 25, 2020 itamfikisha mahakamani aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma, Robert Mwinje (39) na muhudumu wa ofisi hiyo Nyemo Malenda (20) kwa makosa matatu.Aliyekuwa kiongozi wa CCM Dodoma kufikishwa mahakamani na mwenzake
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo Jumatano Machi 25, 2020 itamfikisha mahakamani aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma, Robert Mwinje (39) na muhudumu wa ofisi hiyo Nyemo Malenda (20) kwa makosa matatu. Read more











