newsare.net
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amepunguza mshahara wake na wa makamu wake William Ruto kwa asilimia 80 kwa ajili ya mapambano dhidi ya virusi vya corona huku mawaziri na makatibu wakuu wakipunguziwa asilimia 30.Rais Kenyatta apunguza mshahara wake ili kupambana na corona
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amepunguza mshahara wake na wa makamu wake William Ruto kwa asilimia 80 kwa ajili ya mapambano dhidi ya virusi vya corona huku mawaziri na makatibu wakuu wakipunguziwa asilimia 30. Read more











