newsare.net
NYOTA wa Yanga wamevurugwa baada ya kusikia bilionea wa klabu hiyo Kampuni ya GSM kutishia kujiondoa kwenye baadhi ya huduma walizokuwa wakijitolea nje ya mkataba ikiwamo kambi na posho za wachezaji.Barua nzito ya GSM kwa Yanga yaleta utata
NYOTA wa Yanga wamevurugwa baada ya kusikia bilionea wa klabu hiyo Kampuni ya GSM kutishia kujiondoa kwenye baadhi ya huduma walizokuwa wakijitolea nje ya mkataba ikiwamo kambi na posho za wachezaji. Read more











