newsare.net
Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid amewaomba watu wanaopanga kwenda Zanzibar baada ya siku tatu kuanzia leo Jumatano Machi 25, 2020 wapumzike walipo ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona.Wanaopanga kwenda Zanzibar waombwa wabaki waliko, mgonjwa mwingine wa corona abainika
Waziri wa Afya Zanzibar, Hamad Rashid amewaomba watu wanaopanga kwenda Zanzibar baada ya siku tatu kuanzia leo Jumatano Machi 25, 2020 wapumzike walipo ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona. Read more











