newsare.net
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Charles Kichere amesema ofisi yake ilitoa mapendekezo 266 lakini ni mapendekezo 82 pekee ndiyo yametekelezwa kikamilifu wakati mapendekezo 95 utekelezaji wake ukiendelea, mapendekezo 65 hayajatekelezwa kabiVIDEO: CAG asema hali ya utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa hauridhishi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Charles Kichere amesema ofisi yake ilitoa mapendekezo 266 lakini ni mapendekezo 82 pekee ndiyo yametekelezwa kikamilifu wakati mapendekezo 95 utekelezaji wake ukiendelea, mapendekezo 65 hayajatekelezwa kabisa na mengine 22 yamepitwa na wakati. Read more











