newsare.net
Baada ya saa saba za sintofahamu kuhusu alipo Nassor Ahmed Mazrui, naibu katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Zanzibar, kiongozi huyo aliibuka jana alasiri katika mkutano wa kampeni wa Maalim Seif Sharif Hamad na kusimulia kilichomkuta.Saa 7 za kutoweka kigogo ACT, aibuka mkutano wa Seif
Baada ya saa saba za sintofahamu kuhusu alipo Nassor Ahmed Mazrui, naibu katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Zanzibar, kiongozi huyo aliibuka jana alasiri katika mkutano wa kampeni wa Maalim Seif Sharif Hamad na kusimulia kilichomkuta. Read more











