Select a country

‘ETS itadhibiti udanganyifu wa mapato kipindi hiki cha vita dhidi ya corona’

Kuanzishwa kwa matumizi ya stempu za kielektroniki (ETS) katika bidhaa tofauti Tanzania, kumeelezewa kuwa kutaisaidia Serikali ya nchi hiyo kukusanya kodi ya mapato ili kunusuru uchumi katika kipindi hiki ambacho Taifa limekumbwa na athari za corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Spika Ndugai azuia hotuba ya upinzani kusomwa bungeni

Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amekataa kusomwa kwa maoni ya kambi rasmi ya upinzani kuhusu hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwa sababu imekiuka kanuni za Bunge. Amesema awali alikuwa akiwaonya kambi hiyo kwa kuwataka
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Spika Ndugai azuia hotuba ya upinzani kusomwa bungeni

Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amekataa kusomwa kwa maoni ya kambi rasmi ya upinzani kuhusu hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwa sababu imekiuka kanuni za Bunge. Amesema awali alikuwa akiwaonya kambi hiyo kwa kuwataka kuondoa baadhi ya maeneo katika hotuba zao yanayokwenda kinyume na kanuni lakini kuanzia sasa atakuwa hafanyi hivyo na badala yake kuondoa hotuba nzima yenye maeneo yanayokiuka kanuni.

Sababu za Spika kuzuia hotuba ya upinzani bungeni

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amezuia kusomwa kwa maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni kuhusu hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwa sababu wamekiuka kanuni za Bunge.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Sababu za Spika kuzuia hotuba ya upinzani bungeni

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amezuia kusomwa kwa maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni kuhusu hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwa sababu wamekiuka kanuni za Bunge.

Corona, mkao mpya mjadala mkali bungeni

Mkutano wa 19 wa Bunge mahususi kwa ajili ya Bajeti jana ulianza kwa mkao mpya wa tahadhari na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, suala ambalo pia ndilo lilitawala katika kikao cha kwanza jana.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Corona, mkao mpya mjadala mkali bungeni

Mkutano wa 19 wa Bunge mahususi kwa ajili ya Bajeti jana ulianza kwa mkao mpya wa tahadhari na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, suala ambalo pia ndilo lilitawala katika kikao cha kwanza jana.

VIDEO: Majaliwa awaondoa hofu watanzania kuhusu huduma karantini

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mtu yeyote akithibitika kuwa na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (Covid-19) atapelekwa eneo lililoandaliwa bila kujali cheo chake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Majaliwa awaondoa hofu watanzania kuhusu huduma karantini

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mtu yeyote akithibitika kuwa na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (Covid-19) atapelekwa eneo lililoandaliwa bila kujali cheo chake.

Meya: Nimeondolewa kwa mizengwe, nakubali yaishe

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe jana alikabidhi ofisi na gari kwa mkurugenzi, Hamid Njovu akisema amekubali kukaa kando ili kupisha shughuli za maendeleo, licha ya kuondolewa kwa mizengwe.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Meya: Nimeondolewa kwa mizengwe, nakubali yaishe

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe jana alikabidhi ofisi na gari kwa mkurugenzi, Hamid Njovu akisema amekubali kukaa kando ili kupisha shughuli za maendeleo, licha ya kuondolewa kwa mizengwe.

Watano wakamatwa kwa tuhuma za kumuua mwanajeshi Tabora

Kutokana na kuuawa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) usiku wa kuamkia juzi jumla ya watu watano wamekamatwa wakituhumiwa kuhusika na mauaji hayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Watano wakamatwa kwa tuhuma za kumuua mwanajeshi Tabora

Kutokana na kuuawa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) usiku wa kuamkia juzi jumla ya watu watano wamekamatwa wakituhumiwa kuhusika na mauaji hayo.

Serikali ya Tanzania yaomba radhi ucheleweshwaji vitambulisho vya Taifa

Serikali imewaomba radhi Watanzania kutokana ucheleweshwaji wa utoaji wa vitambulisho vya Taifa ambao mpaka sasa waliopata ni milioni sita kati ya milioni 27.7 wanaotajariwa kupatiwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali ya Tanzania yaomba radhi ucheleweshwaji vitambulisho vya Taifa

Serikali imewaomba radhi Watanzania kutokana ucheleweshwaji wa utoaji wa vitambulisho vya Taifa ambao mpaka sasa waliopata ni milioni sita kati ya milioni 27.7 wanaotajariwa kupatiwa.

Mgonjwa wa kwanza wa corona Kenya apona, aeleza alivyopata taarifa ya kuugua ugonjwa huo

Mtu wa kwanza kupata maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya amezungumza na umma kupitia video na Rais Uhuru Kenyatta akisema taarifa za kuwa na corona aliipata kupitia vyombo vya habari licha ya kuchukuliwa vipimo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgonjwa wa kwanza wa corona Kenya apona, aeleza alivyopata taarifa ya kuugua ugonjwa huo

Mtu wa kwanza kupata maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya amezungumza na umma kupitia video na Rais Uhuru Kenyatta akisema taarifa za kuwa na corona aliipata kupitia vyombo vya habari licha ya kuchukuliwa vipimo.

Makonda amuandikia barua Jafo kuhusu mabasi ya mwendokasi

Ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam imemuandika barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Seleman Jafo aangalie uwezekano wa kuyaruhusu mabasi 200 ya mwendokasi yaliyokwama kwenye bandari kavu ya Ubungo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Makonda amuandikia barua Jafo kuhusu mabasi ya mwendokasi

Ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam imemuandika barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Seleman Jafo aangalie uwezekano wa kuyaruhusu mabasi 200 ya mwendokasi yaliyokwama kwenye bandari kavu ya Ubungo.

Jinsi Tshishimbi alivyotua ofisi za GSM kuweka mambo sawa, Makambo kurejea

BENCHI la ufundi la Yanga, limepanga kuisuka timu hiyo kivingine na tayari Mwanaspoti imenasa silaha tano mpya wanazoanza nazo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jinsi Tshishimbi alivyotua ofisi za GSM kuweka mambo sawa, Makambo kurejea

BENCHI la ufundi la Yanga, limepanga kuisuka timu hiyo kivingine na tayari Mwanaspoti imenasa silaha tano mpya wanazoanza nazo.

Walimu wasaka wanafunzi Ufaransa

Walimu nchini Ufaransa hawawezi kuwasiliana na maelfu ya wanafunzi kuhakikisha kwamba bado wanaendelea kusoma licha ya kushindwa kuhudhuria darasani kutokana na amri ya kuzuia watu kutoka nyumbani kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona, Waziri w
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Walimu wasaka wanafunzi Ufaransa

Walimu nchini Ufaransa hawawezi kuwasiliana na maelfu ya wanafunzi kuhakikisha kwamba bado wanaendelea kusoma licha ya kushindwa kuhudhuria darasani kutokana na amri ya kuzuia watu kutoka nyumbani kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona, Waziri wa Elimu Jean-Michel Blanquer amesema leo Jumanne.

UCHAMBUZI: Shule zetu zinavyoshindwa kuzalisha kina Mkapa wengi

Kumbe Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa aliposema elimu yetu ina walakini na kushauri kuwapo kwa mjadala wa kitaifa ili kuinusuru, hakukurupuka na wala hakusema hivyo ili naye aonekane amekosoa viongozi.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UCHAMBUZI: Shule zetu zinavyoshindwa kuzalisha kina Mkapa wengi

Kumbe Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa aliposema elimu yetu ina walakini na kushauri kuwapo kwa mjadala wa kitaifa ili kuinusuru, hakukurupuka na wala hakusema hivyo ili naye aonekane amekosoa viongozi.

Diwani aomba vipimo vya corona kwenye vivuko, Serikali ya Tanzania yamjibu

Baraza la madiwani  Halmashauri ya Buchosa  wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza limeiomba Serikali  kuweka vipimo vya ugonjwa wa corona kwenye vivuko vinavyotoa huduma ya usafiri katika visiwa vya Kome na Maisome.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Diwani aomba vipimo vya corona kwenye vivuko, Serikali ya Tanzania yamjibu

Baraza la madiwani  Halmashauri ya Buchosa  wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza limeiomba Serikali  kuweka vipimo vya ugonjwa wa corona kwenye vivuko vinavyotoa huduma ya usafiri katika visiwa vya Kome na Maisome.

Msigwa ataka mpango wa kukabiliana na athari za kiuchumi kwa sababu ya corona

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa ameitaka Serikali ya Tanzania  kupeleka bungeni mpango wa kukabiliana na athari za kiuchumi zitakazotokana na maambukizi ya virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Msigwa ataka mpango wa kukabiliana na athari za kiuchumi kwa sababu ya corona

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa ameitaka Serikali ya Tanzania  kupeleka bungeni mpango wa kukabiliana na athari za kiuchumi zitakazotokana na maambukizi ya virusi vya corona.

VIDEO: Mbunge wa Rufiji afikisha kilio cha mafuriko bungeni

Dodoma. Mbunge wa Rufiji nchini Tanzania (CCM),  Mohamed Mchengerwa amehoji hatua zinazochukuliwa na Bunge kuwaangalia watu waliokumbwa na maafa ya mafuriko kwenye wilaya hiyo ambao ni kati ya 20,000 hadi 50,000.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Mbunge wa Rufiji afikisha kilio cha mafuriko bungeni

Dodoma. Mbunge wa Rufiji nchini Tanzania (CCM),  Mohamed Mchengerwa amehoji hatua zinazochukuliwa na Bunge kuwaangalia watu waliokumbwa na maafa ya mafuriko kwenye wilaya hiyo ambao ni kati ya 20,000 hadi 50,000.

VIDEO: Ndugai asema Tanzania haitajikinga na corona kwa kuiga nchi nyingine

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Serikali ya Tanzania haiwezi kuchukua tahadhari ya kuzuia kuienea kwa virusi vya corona kama yanavyofanya baadhi ya mataifa duniani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Ndugai asema Tanzania haitajikinga na corona kwa kuiga nchi nyingine

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Serikali ya Tanzania haiwezi kuchukua tahadhari ya kuzuia kuienea kwa virusi vya corona kama yanavyofanya baadhi ya mataifa duniani.

UTAFITI: Chloroquine yaruhusiwa kutumika kutibu corona nchini Marekani

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeruhusu dawa za chloroquine na hydroxychloroquine kutumika kutibu virusi vya corona (Covid-19).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

UTAFITI: Chloroquine yaruhusiwa kutumika kutibu corona nchini Marekani

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeruhusu dawa za chloroquine na hydroxychloroquine kutumika kutibu virusi vya corona (Covid-19).

Abiria wakaa chini ili daladala kutokamatwa kukiuka agizo maambukizi ya corona

Agizo la daladala kupakia abiria kulingana na idadi ya viti ili kupunguza wanaosimama kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya virusi vya corona huenda halijaeleweka kutokana na baadhi yao kukaa chini kwenye mabasi hayo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Abiria wakaa chini ili daladala kutokamatwa kukiuka agizo maambukizi ya corona

Agizo la daladala kupakia abiria kulingana na idadi ya viti ili kupunguza wanaosimama kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya virusi vya corona huenda halijaeleweka kutokana na baadhi yao kukaa chini kwenye mabasi hayo.

Ndugu wa Mtanzania aliyekufa kwa corona azungumza

Ibrahim Mbita amesema mdogo wake, Iddy amefariki kwa ugonjwa wa corona leo Jumanne Machi 31, 2020 katika kituo cha matibabu ya wanaougua ugonjwa huo kilichopo Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ndugu wa Mtanzania aliyekufa kwa corona azungumza

Ibrahim Mbita amesema mdogo wake, Iddy amefariki kwa ugonjwa wa corona leo Jumanne Machi 31, 2020 katika kituo cha matibabu ya wanaougua ugonjwa huo kilichopo Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam.

Mgonjwa aliyepona corona anaweza kupata mara ya pili? Jibu hili hapa

Ofisa programu wa elimu ya afya kwa umma nchini Tanzania, Dk Tumaini Haonga amesema bado hakuna ushahidi wa kisayansi unaobainisha kuwa mgonjwa aliyepona maambukizi ya korona hawezi kuambukizwa mara ya pili.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mgonjwa aliyepona corona anaweza kupata mara ya pili? Jibu hili hapa

Ofisa programu wa elimu ya afya kwa umma nchini Tanzania, Dk Tumaini Haonga amesema bado hakuna ushahidi wa kisayansi unaobainisha kuwa mgonjwa aliyepona maambukizi ya korona hawezi kuambukizwa mara ya pili.

Mdee ataka wabunge wote wapimwe corona

Mbunge wa Kawe nchini Tanzania (Chadema), Halima Mdee ameshauri wabunge wote kupimwa virusi vya ugonjwa wa corona na wale watakaobainika wakawekwe katika karantini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mdee ataka wabunge wote wapimwe corona

Mbunge wa Kawe nchini Tanzania (Chadema), Halima Mdee ameshauri wabunge wote kupimwa virusi vya ugonjwa wa corona na wale watakaobainika wakawekwe katika karantini.

Katibu mkuu CUF afariki dunia, kuzikwa leo

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman Khalifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020 katika hospitali ya Aga Khan alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Katibu mkuu CUF afariki dunia, kuzikwa leo

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman Khalifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi 31 2020 katika hospitali ya Aga Khan alikokuwa akipatiwa matibabu.

Pasta Uganda kortini kwa kusema corona haipo Afrika

Mamlaka nchini Uganda zimemfungulia mashtaka na kumfunga muhibiri wa injili ambaye anatuhumiwa kukana uwepo wa virusi vipya vya corona barani Afrika, polisi wamesema leo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Pasta Uganda kortini kwa kusema corona haipo Afrika

Mamlaka nchini Uganda zimemfungulia mashtaka na kumfunga muhibiri wa injili ambaye anatuhumiwa kukana uwepo wa virusi vipya vya corona barani Afrika, polisi wamesema leo.

Mwili mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited kuzikwa kesho Dar

Mwili wa mkurugenzi mtendaji wa zamani wa kampuni ya Katani Limited, Salum Shamte aliyefariki Dunia leo alfajiri utazikwa kesho Jumanne Machi 31, 2020 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mwili mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited kuzikwa kesho Dar

Mwili wa mkurugenzi mtendaji wa zamani wa kampuni ya Katani Limited, Salum Shamte aliyefariki Dunia leo alfajiri utazikwa kesho Jumanne Machi 31, 2020 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.

Jinsi corona ilivyobadili utaratibu vikao vya Bunge

Mkutano wa Bunge unaanza kesho Jumanne Machi 31, 2020 mjini Dodoma  huku uendeshaji wa chombo hicho cha Dola ukibadilika kwa kiasi kikubwa lengo likiwa ni kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Jinsi corona ilivyobadili utaratibu vikao vya Bunge

Mkutano wa Bunge unaanza kesho Jumanne Machi 31, 2020 mjini Dodoma  huku uendeshaji wa chombo hicho cha Dola ukibadilika kwa kiasi kikubwa lengo likiwa ni kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona

Benzema amfananisha Giroud na 'kigari kidogo'

Mchezaji wa Real Madrid, Karim Benzema amemkejeli mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Olivier Giroud kwa kujifananisha na dereva wa magari ya mwendokasi ya langalanga (Formula One), huku akimfananisha mshambuliaji huyo wa Chelsea na go-kart, magari madogo
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Benzema amfananisha Giroud na 'kigari kidogo'

Mchezaji wa Real Madrid, Karim Benzema amemkejeli mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Olivier Giroud kwa kujifananisha na dereva wa magari ya mwendokasi ya langalanga (Formula One), huku akimfananisha mshambuliaji huyo wa Chelsea na go-kart, magari madogo zaidi ya mashindano.

Wachezaji Juventus wakatwa mishahara hisa za klabu zapanda

Hisa za Juventus leo zimepanda thamani baada ya uamuzi wa klabu hiyo kukata mishahara wachezaji katika kukabiliana na athari za mlipuko wa virusi vya corona.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wachezaji Juventus wakatwa mishahara hisa za klabu zapanda

Hisa za Juventus leo zimepanda thamani baada ya uamuzi wa klabu hiyo kukata mishahara wachezaji katika kukabiliana na athari za mlipuko wa virusi vya corona.

Ilani ya uchaguzi yatumika kwa mara ya pili

Tofauti na chaguzi zilizotangulia, ule wa Oktoba 1980 ulikuwa na wilaya 111 za uchaguzi, kati ya hizo, 10 zilikuwa za Zanzibar. Katika uchaguzi wa Oktoba 1975 wilaya za uchaguzi zilikuwa 96.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ilani ya uchaguzi yatumika kwa mara ya pili

Tofauti na chaguzi zilizotangulia, ule wa Oktoba 1980 ulikuwa na wilaya 111 za uchaguzi, kati ya hizo, 10 zilikuwa za Zanzibar. Katika uchaguzi wa Oktoba 1975 wilaya za uchaguzi zilikuwa 96.

Yaya Toure: Namna gani mkongwe huyu alivyokaribia kuichezea Arsenal

Yaya Toure anaingia katika historia ya mpira wa miguu wa Afrika kama moja ya wachezaji nguli barani humo. Alishinda mataji makubwa na vilabu vya Barcelona na Manchester City ikiwemo makombe ya ligi na klabu bingwa Ulaya.